News

News Entries

Back
 • 9699 kuwekuewa mikono
  Na Almodad AmosHabari NETC | SameHatimaye Konferensi ya NETC imegawanywa hapo jana tarehe 03 Januari 2018 katika vikao vya Union vilivyofanya kazi ya kugawa na kuweka viongozi wa maeneo mapya ya ...
 • Rai ya Ujenzi wa Makanisa Uchagani

  Posted on Oct 28 2018

  Hope Media | NETC imepata fursa ya kutembelea milima ya Uchagani mwezi Octoba 2018 na kushangazwa na hali ya maendeleo ya Injili katika Konferensi hii. Ni rahisi kudhani kuwa tayari injili imeshafi...
 • Mabadiliko ya Uongozi NETC 2017

  Posted on Nov 10 2017

  9048 mabadiliko ya uongozi
  Mabadiliko ya nafasi za Uongozi wa Wakurugenzi NETC Katika vikao vya mwisho wa mwaka 2017, vilivyokaa tarehe 9 & 10 Novemba 2017, kumekuwa na mabadiliko ya uongozi kwa ngazi ya Wakurugenzi wa Konfe...
 • 9046 kimbute
  Msimu wa makambi NETC umekwisha siku ya sabato ya tarehe 21 Okt 2017 na ratiba ya awali ya 2018 tayari imetoka. Zipo changa,oto kadhaa zilizojitokeza katika makambi ya 2017 ikiwemo suala la wahudumu.
 • TUCASA (ATC) Arusha na Uinjilisti

  Posted on Oct 22 2017

  9039 1
  Chama cha Wanafunzi waadventista Wa Sabato (TUCASA) kutoka Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical college)Wamekusanya vyakula na bidhaa mbalimbali za maisha ya kila siku kwa lengo la kuipatia jam...
 • 9024 vivd
  Ikitarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi Agasti 2018, VividFaith itakuwa ni jamii ya muhimu sana; wale wanaotaka kutumika Kanisani wanaweza kupata mahali kadha wa kadha pa kutumika na pia kuona au kufahamu
 • 9005 wakiwa ibadani
  Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ahitimisha sherehe za kambi la Mtaa wa Majengo, katika Kanisa la Waadventista Wasabato - Majengo, Moshi; jana siku ya Sabato akiwa na Mch. Godwin Lekundayo ambaye ni Mwenye
 • 8997 akitambulishwa
  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Anna Mgwira ametembelea makao makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato katika Konferensi ya Kaskazini Mashariki mwa Tanzania.... (Soma ili kupata habari kamili)