Semina za Idara ya Mawasiliano
Hizi ni semina na miongozo kadha wa kadha za Idara ya Mawasiliano. Kila mwaka zitakuwa zikiboreshwa na kuongezwa nyingine mpya kadri mafunzo yatakavyokuwa yakifanyika na miongozo itakavyoendelea kutengenezwa. Pakua na uende ukaubariki ulimwengu. Semina hizi zimeandaliwa na Idara ya Mawasilino NETC mwaka 2022 (isipokuwa kama imeonyeshwa vinginevyo katika Semina).File Date | Title/Download Link | Description |
---|---|---|
03/22/2022 | 09 Utambulisho wa Kanisa la Mungu.pptx | Hii semina inaelekeza namna Kanisa linavyotumia mfumo wake wa utambulisho ili kuifanya huduma ya Kanisa inayotolewa kwa namna nyingi kuwa na umoja na utambulisho sawa |
03/22/2022 | 08 Tovuti Muhimu kwa Mwanamasiliano.pptx | Kazi ya kiongozi wa mawasiliano ni kuwa daraja la huduma zinazotolewa na Kanisa. Fahamu tovuti muhimu za kutembelea ili uwe daraja jema kwa idara kanisani na ngazi za juu za Kanisa |
03/22/2022 | 07Program tumishi za Kanisa.pptx | Hapa kuna baadhi ya program tumishi (Apps) Zilizotengenenzwa ili kuimarisha maisha yako ya Kiroho na kufanikisha utume wa Kanisa |
03/22/2022 | 06 Historia Fupi ya GAiN Tanzania.pptx | Kirefu cha GAiN ni Global Adventist internet Network. Pata historia yake kwa ufupi na jiandae kuwa sehemu ya vuguvugu hili makini |
03/22/2022 | 05 Uinjilisti wa kidijitali kupitia mitandao ya Kijamii.pptx | - |
03/22/2022 | 04 Kazi za Kiongozi wa Mawasiliano Sehemu ya 01.pptx | Yajue majukumu Kiongozi wa Idara ya Mawasiliano Katika Kanisa Mahalia |
03/22/2022 | 03 Zijue Sifa za Kiongozi wa Idara ya Mawasiliano.pptx | Hizi ni sifa za Kiongozi anayeweza kufanikiwa katika kuifanya kazi yake ya Idara ya Mawasiliano kwa uzuri |
03/22/2022 | 02 Nukuu Nne Muhimu kwa Idara ya Mawasiliano.pptx | Nukuu hizi na zikutie moyo katika kazi ya uongozi wa Idara ya Mawasiliano |
03/22/2022 | 01Falsafa ya Idara ya Mawasiliano Kanisani.pptx | Kwa nini ni muhimu kuwa na Idara ya Mawasiliano kanisani? Swali hili linajibiwa na semina hii |
03/23/2022 | 10 Barua ya Mfano.docx | Barua hii yaweza kuandikwa na kurekebishwa kulingana na mahitaji ya Kanisa. Imewekwa hapa ili kurahisisha zoezi la kutengeneza barua zinazozingatia mfumo wa utambulisho wa Kanisa |