Back to Document Groups

Semina za Idara ya Mawasiliano

Hizi ni semina na miongozo kadha wa kadha za Idara ya Mawasiliano. Kila mwaka zitakuwa zikiboreshwa na kuongezwa nyingine mpya kadri mafunzo yatakavyokuwa yakifanyika na miongozo itakavyoendelea kutengenezwa. Pakua na uende ukaubariki ulimwengu. Semina hizi zimeandaliwa na Idara ya Mawasilino NETC mwaka 2022 (isipokuwa kama imeonyeshwa vinginevyo katika Semina).
File Date Title/Download Link Description
03/22/2022 01Falsafa ya Idara ya Mawasiliano Kanisani.pptx Kwa nini ni muhimu kuwa na Idara ya Mawasiliano kanisani? Swali hili linajibiwa na semina hii
03/22/2022 02 Nukuu Nne Muhimu kwa Idara ya Mawasiliano.pptx Nukuu hizi na zikutie moyo katika kazi ya uongozi wa Idara ya Mawasiliano
03/22/2022 03 Zijue Sifa za Kiongozi wa Idara ya Mawasiliano.pptx Hizi ni sifa za Kiongozi anayeweza kufanikiwa katika kuifanya kazi yake ya Idara ya Mawasiliano kwa uzuri
03/22/2022 04 Kazi za Kiongozi wa Mawasiliano Sehemu ya 01.pptx Yajue majukumu Kiongozi wa Idara ya Mawasiliano Katika Kanisa Mahalia
03/22/2022 05 Uinjilisti wa kidijitali kupitia mitandao ya Kijamii.pptx -
03/22/2022 06 Historia Fupi ya GAiN Tanzania.pptx Kirefu cha GAiN ni Global Adventist internet Network. Pata historia yake kwa ufupi na jiandae kuwa sehemu ya vuguvugu hili makini
03/22/2022 07Program tumishi za Kanisa.pptx Hapa kuna baadhi ya program tumishi (Apps) Zilizotengenenzwa ili kuimarisha maisha yako ya Kiroho na kufanikisha utume wa Kanisa
03/22/2022 08 Tovuti Muhimu kwa Mwanamasiliano.pptx Kazi ya kiongozi wa mawasiliano ni kuwa daraja la huduma zinazotolewa na Kanisa. Fahamu tovuti muhimu za kutembelea ili uwe daraja jema kwa idara kanisani na ngazi za juu za Kanisa
03/22/2022 09 Utambulisho wa Kanisa la Mungu.pptx Hii semina inaelekeza namna Kanisa linavyotumia mfumo wake wa utambulisho ili kuifanya huduma ya Kanisa inayotolewa kwa namna nyingi kuwa na umoja na utambulisho sawa
03/23/2022 10 Barua ya Mfano.docx Barua hii yaweza kuandikwa na kurekebishwa kulingana na mahitaji ya Kanisa. Imewekwa hapa ili kurahisisha zoezi la kutengeneza barua zinazozingatia mfumo wa utambulisho wa Kanisa