Announcements

 • Mkutano wa Walei - Singida

  Announced by Almodad Amos on Apr 28 2019

  Idara ya Huduma binafsi inapenda kuwatangazi washiriki na makanisa yote kuwa kutano wa Singida utaanza tarehe 05 Mei kwa wajumbe kuwasili. Ikiwa unahitaji kwenda, bado mlango wa rehema upo wazi kwako. Lipa kiingilio kwa akaunti namba zifuatazo:

  Jina la Akaunti ni:
  SDA church of Tanzania kwa CRDB
  Namba ya Akaunti ni 0150386429400

  Jina la akaunti nyingine:
  Tanzania Union of SDA kwa NBC
  Namba ya akaunti ni: 014103003007

  baada ya hapo wasiliana na Mchungaji Almodad Amos, ili umtumie hiyo Slip kwa WhatsApp kwa namba:
  0718 834 621
  Usipange kukosa mkutano huu makini.