Subscribe Rss feed

Podcasts

  • Ugunduzi Yakinifu

    Mahubiri ya Injili ambayo yatakujia kuanzia Tarehe 1 - 14 Mwezi Mei 2023 kwa njia ya Mtandao. Mahubiri haya yatafnyika kwa njia ya (Sauti) Audio na Mhubiri makini Mchungaji Enos L. Mwakalindile ambaye ni Mchungaji katika Kanisa la Waadventista wa Sabato. Waweza kusikilia mahubiri haya ukiwa mahali popote pale. Jiandae kupata baraka hizi na alika jirani zako.

    Date Title Presenter
    2023-04-20 32.WEWE_NI_MTU_WA... Play
    2023-04-20 27._WED_23_SEPT_2... Play
    2023-04-20 24._SUN_20_SEPT_2... Play
    More