Back to Document Groups

Mahubiri

Zaburi 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu
File Date Title/Download Link Description
01/03/2018 Siku Kumi za Maombi 2018.pdf Masomo ya maombi kwa ajili ya siku kumi za maombi zitakazoanza 03 - 13 January 2018
01/03/2018 03 Dhambi Isiyosameheka.pdf Somo la leo linaohusika na maisha ya mtu binafsi. Tunajua wazi kuwa tunatenda dhambi lakini, Je, ipo dhambi isiyoweza kusameheka? Unawezaje kujua umetenda dhambi isiyoweza kusameheka? Unawea kuitambua wakati utakapokuwa umefika? Tuna muda kiasi gani wa kujiandaa kabla ya kuingia mbingunii?