GAiN Tanzania | Morogoro
Location: Morogoro
Mkutano unakutanisha wataalam wa Teknolojia na wadau wa Idara ya mawasiliano watakutana tena Morogoro Mjini kwa ajili ya Mkutano wa GAiN ili kjadili na kubuni mbinu za kisasa na za ki-teknolojia katika kuufikia Ulimwengu.