Ukaguzi Mtaa wa Njoro

Kalenda ya Matukio  |  Aug 13 2020 1:00 PM - Aug 16 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Njoro

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Njoro kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.