Semina za Wainjilisti wa Vitabu

Kalenda ya Matukio  |  Oct 18 2020 11:00 AM - Oct 24 2020 12:00 PM

Location: Moshi

Semina hizi itawahusu Wainjilisti wote. Wakufunzi watatoka Union Konferensi yaani NTUC na Konferensi NETC.