Siku ya Maombi Maalum ya Kufunga

Kalenda ya Matukio  |  Apr 03 2021

Location: GC-MIN

Kila sabato ya kwanza ya Robo imetengwa na Kanisa la Ulimwengu mzima kwa ajili ya maombi maalum ya kufunga. Maombi hayo huratibiwa na Idara ya Huduma za Kichungaji.