Siku Maalum ya Maombi ya Kufunga

Kalenda ya Matukio  |  Feb 02 2021

Location: Makanisa Yote

Itakuwa Sabato ambayo washiriki na waumini wote wa Kanisa la Waadventista wa Sabato duniani, wataungana katika maombi maalum ya mfungo. Utaratibu zaidi wa namna ya kuomba na mambo ya kuombea, utatumwa na mkurugenzi wa Idara ya Huduma za kichungaji.