Mwenyekiti Kutembelea Kihurio/Ndungu

Kalenda ya Matukio  |  Feb 20 2020 2:00 PM - 3:00 PM

Location: Kihurio & Ndungu

Mwenyekiti atatembelea mitaa hii husika kwa lengo la shughuli zake za Kiuongozi pamoja na kufanya uamsho maalum wa shughuli za kiutume kwa wahusika atakao kutana nao. Wahusika wakuu wa tukio hili watajulishwa kupitia Mchungaji wa Mtaa.