Ukaguzi Mtaa wa Malindi

Kalenda ya Matukio  |  Nov 12 2020 2:00 PM - Nov 18 2020 3:00 PM

Location: Mtaa wa Malindi

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Malindi kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.