Ukaguzi Mtaa wa Lushoto

Kalenda ya Matukio  |  Nov 06 2020 2:00 PM - Nov 11 2020 3:00 PM

Location: Mtaa wa LUshoto

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Lushoto kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.