Ukaguzi Mtaa wa TPC

Kalenda ya Matukio  |  Aug 19 2020 2:00 PM - Aug 25 2020 3:00 PM

Location: Mtaa wa TPC

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa TPC kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.