Ukaguzi Mtaa wa N/Pare
Location: Mtaa wa N/Pare
Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa N/Pare kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.