Juma la Uchapishaji NETC

Kalenda ya Matukio  |  Apr 18 2020 - Apr 25 2020

Location: Konferensi Nzima

Litakuwa juma la uchapishaji ambalo litakuwa na masomo maalum kutoka idara ya uchapishaji. Kila mshiriki na kila muumini anaalikwa kujiandaa kuhudhuria juma hilo.