Mkutano wa ABCs, Sub ABCs Managers & APD PDD

Kalenda ya Matukio  |  Feb 24 2020 - Feb 29 2020

Location: Nzega, Tabora

Mkutano huu utawataka ABCs, Sub ABCs Managers pamoja na APD PDD wote kuelekea kule Nzega kwa ajili ya Semina maalum. Murugenzi wa Idara ya Uchapishaji atatoa maelekezo husika kwa watu husika wakati utakapowadia.