News

News Entries

 • Viongozi NETC Waokoka na Ajali

  Posted on Apr 27 2019

  10020 03
  Mungu awakoa viongozi wa Konferensi kwa namna ya ajabu. Gari la ofisi lililogongana na gari kubwa la mizigo, limebaki limesismama na gari hilo kubwa limebinuliwa. Sikiliza kisa hiki cha kusisimua...
 • Kugawanya Konferensi Leo

  Posted on Jan 02 2019

  9699 kuwekuewa mikono
  Konferensi ya NETC inakwenda kugawanywa muda si mrefu. Soma habari hii angalau kupata mwanga wa kile kinachoendelea.
 • Wachungaji Wawekewa Mikono

  Posted on Oct 01 2018

  9369 kuwekuewa mikono
  Sabato ya tarehe 29 Oktoba 2018 itakuwa sabato ya kukumbukwa sana katika historia ya Mch. Jackson Mding'i na Mch. Daniel Gitianga ambao wamewekewa mikono ya kutengwa kwa kazi maalum ya kichungaji...