Calendars

March 2020

Sat 07 Mar 2020

 • Siku ya Maombi ya Wanawake

  Kalenda ya Matukio All Day

  Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake NETC atatoa mwongozo kuhusu tukio hili. Lakini kwa maelezo ya awali unaweza kutembelea Tovuti ya Idara ya Wanawake na ukapata masomo pamoja na muundo wa …

Sun 08 Mar 2020

 • Ukaguzi Mtaa wa MAKORORA

  Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Mar 12 2020 1:00 PM

  Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Makorora kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Wed 11 Mar 2020

Fri 13 Mar 2020

 • Ukaguzi Mtaa wa MABAWA

  Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Mar 17 2020 1:00 PM

  Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mabawa kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

 • Huduma za Kichungaji - VUNTA

  Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Mar 16 2020 1:00 PM

  Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kichungaji NETC NTUC watatembelea Kirangare Vunta kwa ajili ya semina za Idara hiyo pamoja na Idara ya Uchapishaji. Wahusika ni Wazee wa Makanisa, Mashemasi …

Fri 20 Mar 2020

 • Ukaguzi Mtaa wa Mkinga

  Kalenda ya Matukio 2:00 PM - Mar 25 2020 2:00 PM

  Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mkinga kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Wed 25 Mar 2020

 • Ukaguzi Mtaa wa Muheza

  Kalenda ya Matukio 2:00 PM - Mar 30 2020 2:00 PM

  Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Muheza kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …