Announcements

  • Taarifa za Tathmini (Wachungaji)

    Announced by Almodad Amos on Sep 18 2018

    Idara ya Vijana inapenda kuwakumbusha wachungaji wa mitaa kuwa tarehe ya taarifa imekaribia sana, hivyo basi kumbukeni kuleta taarifa ya tathmini. 
    Taarifa itatolewa kulingana na kila mtu alivyoleta taarifa. Isisahaulike kuwa kila Kanisa kwa kila Mtaa inahitajika taarifa hivyo kila Kanisa lijaze taarifa hii. 

    Wenu Mch. John Kimbute