Back to Document Groups

Semina Mbalimbali

Semina hizi zitatumika na Wachungaji, Wazee wa makanisa, Viongozi mbalimbali wa maidara na wote ambao wameitwa kulilisha, kuliongoza na kulisimamia Kanisa la Bwana. Jisikie huru kupakua na kusoma na kuzifundisha semina hizi.
File Date Title
10/22/2017 Jinsi ya Kuanza Kutumia ACMS kwa Mara ya Kwanza Kabisa (Karani wa Kanisa) ppt Download
10/21/2017 Semina kwa Kiongozi wa Mawasiliano wa Kanisa Mahalia Download
10/21/2017 Mwongozo wa ACMS kwa Karani wa Kanisa.pdf Download
10/02/2017 Kiongozi wa Uwakili Kanisani Download
10/02/2017 Kiongozi wa Shule ya Sabato Download