Semina Mbalimbali
Semina hizi zitatumika na Wachungaji, Wazee wa makanisa, Viongozi mbalimbali wa maidara na wote ambao wameitwa kulilisha, kuliongoza na kulisimamia Kanisa la Bwana. Jisikie huru kupakua na kusoma na kuzifundisha semina hizi.File Date | Title/Download Link | Description |
---|---|---|
10/22/2017 | Jinsi ya Kuanza Kutumia ACMS kwa Mara ya Kwanza Kabisa (Karani wa Kanisa) ppt | - |
10/02/2017 | Kiongozi wa Shule ya Sabato | - |
10/02/2017 | Kiongozi wa Uwakili Kanisani | - |
10/21/2017 | Mwongozo wa ACMS kwa Karani wa Kanisa.pdf | - |
10/21/2017 | Semina kwa Kiongozi wa Mawasiliano wa Kanisa Mahalia | - |