Kalenda ya Matukio

October 2020

Sat 10 Oct 2020

  • Siku ya kumtambua Mchungaji

    All Day

    Siku ya kutambua huduma ya mchungaji. Tafadhali program hii ipewe umuhimu wake kwa kadri ambavyo itaelekezwa kwa barua kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara husika. Wakati utakapowadia maelekezo hayo yatawekwa pia …

Sun 18 Oct 2020

  • Semina za Wainjilisti wa Vitabu

    12:00 PM - Oct 24 2020 12:00 PM

    Semina hizi itawahusu Wainjilisti wote. Wakufunzi watatoka Union Konferensi yaani NTUC na Konferensi NETC.

Sun 01 Nov 2020

  • Ukaguzi Shule ya Kana

    3:00 PM - Nov 14 2020 3:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea Shula ya Kanisa la Kana kwa kusudi la kuifanyia ukaguzi shule hiyo.