Ukaguzi Mtaa wa Mbaga

Kalenda ya Matukio  |  Sep 14 2020 2:00 PM - Sep 19 2020 3:00 PM

Location: Mtaa wa Mbaga

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mbaga kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.