Ukaguzi Mtaa wa Majengo

Kalenda ya Matukio  |  Aug 17 2020 2:00 PM - Aug 19 2020 3:00 PM

Location: Ukaguzi Mtaa wa Majengo

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Majengo kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.