Ukaguzi Mtaa wa Pasua

Kalenda ya Matukio  |  Aug 10 2020 1:00 PM - Aug 13 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Pasua

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Pasua kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.