Ukaguzi Mtaa wa Kihurio

Kalenda ya Matukio  |  Jul 21 2020 1:00 PM - Jul 28 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Kihurio

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kihuriokwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.