Ukaguzi Mtaa wa Rombo

Kalenda ya Matukio  |  May 15 2020 1:00 PM - May 21 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Rombo

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Rombo kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.