Ukaguzi Mtaa wa Himo

Kalenda ya Matukio  |  May 10 2020 1:00 PM - May 14 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Himo

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Himo kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.