Ukaguzi Mtaa wa Mpinji

Kalenda ya Matukio  |  Apr 13 2020 1:00 PM - Apr 19 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Mpinji

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mpinji kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.