Ukaguzi Mtaa wa Myamba

Kalenda ya Matukio  |  Apr 06 2020 1:00 PM - Apr 12 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Myamba

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Myamba kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.