Ukaguzi Mtaa wa Muheza

Kalenda ya Matukio  |  Mar 25 2020 1:00 PM - Mar 30 2020 2:00 PM

Location: Muheza

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Muheza kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.