Ukaguzi Mtaa wa KANGE

Kalenda ya Matukio  |  Feb 20 2020

Location: Mtaa wa Kange

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kange kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.