Ukaguzi Mtaa wa Kilindi

Kalenda ya Matukio  |  Feb 13 2020 12:00 PM - Feb 18 2020 1:00 PM

Location: Mtaa wa Kilindi

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kilindi kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.