Ukaguzi HANDENI

Kalenda ya Matukio  |  Feb 06 2020 12:00 PM - 1:00 PM

Location: Handeni

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Handeni kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.