Siku ya kufunga na kuomba

Kalenda ya Matukio  |  Feb 20 2020 12:00 PM - 1:00 PM

Location: Duniani Kote

Kila mshiriki anaalikwa kuuandaa moyo wake kwa ajili ya siku hii maalum na muhimu sana ambayo watu wa Mungu watajinyima na kutenga muda maalum kwa ajili ya kuutafuta uso wa Mungu wetu kwa njia ya maombi.