GC/ECD SOP Training

Kalenda ya Matukio  |  Feb 12 2020 1:00 PM - 2:00 PM

Location: Bariadi

Kutakuwa na mkutano wa mafunzo maalum ya SOP kule Bariadi yatakayofanywa na watu wa GC & ECD. Wahusika watatajwa kupitia barua zitakazotoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kichungaji.