ADRA: Siku ya Kuonesha Huruma

Kalenda ya Matukio  |  Feb 02 2020

Location: Hii pia itafanyika kote Duniani (Soma maelezo, muhimu sana)

Hata hivyo ni vizuri kufahamau kuwa ADRA inaendelea kuhimiza washiriki wote Duniani kuungana pamoja nao katika kuhimiza Mpango wa Kusaidia watoto walio katika mazingira magumu (Kote Duniani) kupata elimu. Ili kuunga mkono program hii tafadhali bofya hapa, haitakuchukua zaidi ya dakika tano kusaidia mtoto flani kupata elimu, pia haitakugharimu pesa yoyote. Asante kwa utayari wako.