Siku ya kumtambua Mchungaji

Kalenda ya Matukio  |  Oct 10 2020

Location: Kote Duniani

Siku ya kutambua huduma ya mchungaji. Tafadhali program hii ipewe umuhimu wake kwa kadri ambavyo itaelekezwa kwa barua kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara husika. Wakati utakapowadia maelekezo hayo yatawekwa pia hapa kwenye Tovuti na katika ukrasa huu huu.