Huduma za Kichungaji - VUNTA

Kalenda ya Matukio  |  Mar 13 2020 12:00 PM - Mar 16 2020 1:00 PM

Location: Kirangare/Vunta

Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kichungaji NETC & NTUC watatembelea Kirangare & Vunta kwa ajili ya semina za Idara hiyo pamoja na Idara ya Uchapishaji. Wahusika ni Wazee wa Makanisa, Mashemasi pamoja na Viongozi wa Idara ya Uchapishaji. Maelekezo zaidi yatakuja wakati utakapowadia.