Calendars
- Kalenda ya Matukio
April 2020
Mon 06 Apr 2020
-
Kalenda ya Matukio 2:00 PM - Apr 12 2020 2:00 PM
Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Myamba kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …
Mon 13 Apr 2020
-
Kalenda ya Matukio 2:00 PM - Apr 19 2020 2:00 PM
Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mpinji kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …
Sat 18 Apr 2020
-
Kalenda ya Matukio Ends Apr 25 2020
Litakuwa juma la uchapishaji ambalo litakuwa na masomo maalum kutoka idara ya uchapishaji. Kila mshiriki na kila muumini anaalikwa kujiandaa kuhudhuria juma hilo.