Calendars

  • Kalenda ya Matukio

February 2020

Sat 01 Feb 2020

Sun 02 Feb 2020

  • ADRA: Siku ya Kuonesha Huruma

    Kalenda ya Matukio All Day

    Hata hivyo ni vizuri kufahamau kuwa ADRA inaendelea kuhimiza washiriki wote Duniani kuungana pamoja nao katika kuhimiza Mpango wa Kusaidia watoto walio katika mazingira magumu (Kote Duniani) kupata elimu. Ili …

Mon 03 Feb 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa KANA

    Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Feb 07 2020 1:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kana kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Thu 06 Feb 2020

  • Ukaguzi HANDENI

    Kalenda ya Matukio 12:00 PM - 1:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Handeni kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Sat 08 Feb 2020

Wed 12 Feb 2020

  • GC/ECD SOP Training

    Kalenda ya Matukio 1:00 PM - 2:00 PM

    Kutakuwa na mkutano wa mafunzo maalum ya SOP kule Bariadi yatakayofanywa na watu wa GC & ECD. Wahusika watatajwa kupitia barua zitakazotoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Kichungaji.

Thu 13 Feb 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa Kilindi

    Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Feb 18 2020 1:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kilindi kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Tue 18 Feb 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa KABUKU

    Kalenda ya Matukio 1:00 PM - Feb 23 2020 1:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kabuku kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Thu 20 Feb 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa KANGE

    Kalenda ya Matukio All Day

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Kange kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

  • Siku ya kufunga na kuomba

    Kalenda ya Matukio 12:00 PM - 1:00 PM

    Kila mshiriki anaalikwa kuuandaa moyo wake kwa ajili ya siku hii maalum na muhimu sana ambayo watu wa Mungu watajinyima na kutenga muda maalum kwa ajili ya kuutafuta uso wa …

  • Mwenyekiti Kutembelea Kihurio/Ndungu

    Kalenda ya Matukio 2:00 PM - 3:00 PM

    Mwenyekiti atatembelea mitaa hii husika kwa lengo la shughuli zake za Kiuongozi pamoja na kufanya uamsho maalum wa shughuli za kiutume kwa wahusika atakao kutana nao. Wahusika wakuu wa tukio …

  • Mwenyekti Kutembelea Majengo/Njoro

    Kalenda ya Matukio 2:00 PM - 3:00 PM

    Mwenyekiti atatembelea mitaa hii husika kwa lengo la shughuli zake za Kiuongozi pamoja na kufanya uamsho maalum wa shughuli za kiutume kwa wahusika atakao kutana nao. Wahusika wakuu wa tukio …

Sun 23 Feb 2020

Mon 24 Feb 2020