Mwenyekiti NETC Kutembelea Myamba/Mpinji

Kalenda ya Matukio  |  Mar 11 2020 2:00 PM - Mar 15 2020 3:00 PM

Location: Myamba

Mwenyekiti NETC atatembelea Mtaa wa Myamba. Maelekezo zaidi yatatumwa kwa Mchungaji wa Mtaa kuhusu wahusika wakuu wa tukio hili.