Ukaguzi Mtaa wa Ndungu

Kalenda ya Matukio  |  Sep 08 2020 2:00 PM - Sep 13 2020 3:00 PM

Location: Mtaa wa Ndungu

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Ndungu kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.