Ukaguzi Mtaa wa Mkinga

Kalenda ya Matukio  |  Mar 20 2020 1:00 PM - Mar 25 2020 2:00 PM

Location: Mtaa wa Mkinga

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mkinga kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.