Ukaguzi Mtaa wa MABAWA

Kalenda ya Matukio  |  Mar 13 2020 12:00 PM - Mar 17 2020 1:00 PM

Location: Mtaa wa Mabawa

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Mabawa kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.