Ukaguzi Mtaa wa MAKORORA

Kalenda ya Matukio  |  Mar 08 2020 12:00 PM - Mar 12 2020 1:00 PM

Location: Mtaa wa Makorora

Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Makorora kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini ya usimamizi wa Mchungaji wa Mtaa kwani anayo maelekezo yote.