Siku ya Maombi ya Wanawake

Kalenda ya Matukio  |  Mar 07 2020

Location: Hii itafanyika kote Duniani

Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake NETC atatoa mwongozo kuhusu tukio hili. Lakini kwa maelezo ya awali unaweza kutembelea Tovuti ya Idara ya Wanawake na ukapata masomo pamoja na muundo wa program tangu hivi sasa.