Calendars

  • Kalenda ya Matukio

May 2020

Wed 06 May 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa N/Pare

    Kalenda ya Matukio 2:00 PM - May 09 2020 2:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa N/Pare kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Sun 10 May 2020

  • Juma Kuu la Watendakazi

    Kalenda ya Matukio Ends May 16 2020

    Litakuwa juma ambalo kila mtendakazi wa Konferensi ya NETC amnapaswa kutawanya vitabu na magazeti kwa kuuza. Maelekezo zaidi yatatujia kwa njia ya barua kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uchapishaji.

  • Ukaguzi Mtaa wa Himo

    Kalenda ya Matukio 2:00 PM - May 14 2020 2:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Himo kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …

Fri 15 May 2020

  • Ukaguzi Mtaa wa Rombo

    Kalenda ya Matukio 2:00 PM - May 21 2020 2:00 PM

    Mkaguzi wa Konferensi kutembelea mtaa wa Rombo kwa ajili ya Ukaguzi. Vifaa vyote vya Ukaguzi vinapswa kuandaliwa na wahusika wote wanapaswa kujiandaa na kuwepo wakati wa ukaguzi. Maandalizi yafanywe chini …